Thaksin Shinawatra

Thaksin Shinawatra (kwa Kithai: ทักษิณ ชินวัตร; amezaliwa 26 Julai 1949) ni mfanyabiashara, mwanasiasa na profesa wa Uhai.

Picha yake.

Alihudumu kama Waziri Mkuu wa Thailand kutoka 2001 hadi 2006. Baada ya kuondolewa madarakani, alipatikana na hatia ya ufisadi mnamo 2008 na sasa anaishi katika uhamishoni.

Dada yake mdogo Yingluck Shinawatra alikuwa waziri mkuu wa Thailand kutoka 2011 hadi 2014. na bintiye mdogo Paetongtarn Shinawatra ndiye waziri mkuu wa sasa tangu tarehe 17 Agosti 2024.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thaksin Shinawatra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.