The Fame ni albamu ya kwanza ya mwanamuziki wa pop dansi wa Marekani Lady Gaga. Albamu ilitolewa mnamo mwezi wa Agosti katika mwaka wa 2008 - na ilitolewa chini ya Interscope Records kwa Kanada na baadhi ya nchi za Ulaya. Toleo la pili la albamu hiyohiyo iliyokuwa na baadhi ya nyimbo tofauti kadhaa na ilitolewa kunako tar. 15 Novemba 2008 kwa ajili ya Australia tu. Kunako tar. 28 Oktoba ya mwaka wa 2008, albamu ilitolewa kwa nchi ya Marekani. Kunako tar. 9 Januari ya mwaka wa 2009, albamu ilitolewa kwa ajili ya nchi ya Ireland na UK, hadi kufikia 12 Januari 2009.

The Fame
The Fame Cover
Studio album ya Lady Gaga
Imetolewa 19 Agosti 2008
(tazama historia ya kutolewa)
Imerekodiwa 2008
Aina Pop, dansi,[1] electronic[2]
Lebo Streamline,[3] Kon Live, Interscope, Cherrytree[4]
Mtayarishaji RedOne, Space Cowboy, Rob Fusari, Martin Kierszenbaum, Brian Kierulf na Joshua M. Schwartz (wa KNS production)
Wendo wa albamu za Lady Gaga
The Fame
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya The Fame
  1. "Just Dance"
    Imetolewa: 4 Agosti 2008
  2. "Poker Face"
    Imetolewa: 23 Septemba 2008
  3. "Eh, Eh (Nothing Else I Can Say)"
    Imetolewa: 3 Februari 2009
  4. "LoveGame"
    Imetolewa: 24 Machi 2009
  5. "Paparazzi"
    Imetolewa: 6 Julai 2009


Albamu ilifikia katika chati za Billboard Electronic Albums na vilevile kushika cha za Kanada na Ireland pia. Single mbili za mwanzo kutoka katika albamu hiyo ni pamoja na "Just Dance" na Poker Face", zimepata mafanikio makubwa makubwa dunia nzima na pia kushika chati kibao za Marekani na Uingereza pia.

Orodha ya nyimbo

hariri
  1. "Just Dance"
  2. "Love Game"
  3. "Paparazzi"
  4. "Beautiful, Dirty, Rich"
  5. "Eh, Eh (Nothing Else I Can Say)"
  6. "Poker Face"
  7. "The Fame"
  8. "Money Honey"
  9. "Again Again"
  10. "Boys Boys Boys"
  11. "Brown Eyes"
  12. "Summerboy"

Historia ya Kutolewa

hariri
Mahala Tarehe Muundo Msambazaji
Kanada 19 Agosti 2008 CD, digital download Interscope
Ulaya 29 Agosti 2008 CD, digital download Universal Music Group
Australia 6 Septemba 2008 CD, digital download
15 Novemb, 2008
Ujerumani 19 Septemba 2008 CD, digital download
Ufaransa 13 Oktoba 2008 CD, digital download
Marekani 28 Oktoba 2008 CD, LP, digital download Interscope
Italia 31 Oktoba 2008 CD, digital download Universal Music Group
30 Januari 2009[5] CD, digital download (new version)
Ireland 9 Januari 2009 CD, digital download Polydor
Uingereza 12 Januari 2009
Hispania 24 Februari 2009 CD Universal Music Group
Brazil Machi 2009 CD Universal Music Group

Mauzo na matunukio

hariri
Nchi Matunukio Mauzo/usafirishaji
Australia 2x Platinum[6] 140,000+
New Zealand Platinum[7] 15,000+
Marekani   302,839+[8]
Poland Dhahabu 10,000+
Uingereza Dhahabu 103,000+
Kanada 2x Platinum 130,000+[9]

Marejeo

hariri
  1. Nick Levine (2008-12-31). "Ones To Watch In 2009: Lady Gaga". Digital Spy. Digital Spy.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-02. Iliwekwa mnamo 2009-01-08.
  2. Adrian Thrills (2009-01-09). "Why The World Is Going Gaga For Electro-pop Diva Stefani". Daily Mail. Mail Online. Iliwekwa mnamo 2009-01-12.
  3. "Bio". LadyGaga.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 2009-01-08.
  4. Lady Gaga discographyBillboardRetrieved on 2009-02-04
  5. Italy release
  6. "Australia The Fame certification". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-20. Iliwekwa mnamo 2009-02-25.
  7. "RIANZ The Fame certification". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-02-25.
  8. Billboard Biz charts
  9. Lady Gaga remains at No. 1

Viungo vya Nje

hariri