The Wonderboy Mixtape

Kandamseto ya Kwanza ya Dizasta Vina


The Wonderboy Mixtape ni kandamseto ya kwanza ya msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina. Kandamseto imetoka mwaka wa 2017.

The Wonderboy Mixtape
Studio album ya Dizasta Vina
Imetolewa 2017
Imerekodiwa 2012-2017
Aina Bongo Flava, Hip hop
Urefu 34:59
Lebo Panorama Authentik
Mtayarishaji Ringle Beats
Dizasta Vina
Wendo wa albamu za Dizasta Vina
"The Wonderboy Mixtape"
(2017)
"Jesusta"
(2018)

Nyimbo kali katika kandamseto hii ni pamoja na Siku Nikifa, Harder, Mlengwa na nyingine kibao.[1] The Wonderboy Mixtape ina jumla ya nyimbo 10 na imetayarishwa katika studio mbalimbali za jijini Dar es Salaam chini ya lebo ya Panorama Authentik.

Orodha ya nyimbo

hariri

Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika kandamseto ya "The Wonderboy Mixtape".[2][3]

Na. Jina la wimbo Mtayarishaji Urefu
1 Baunsa (Reloaded) Dizasta Vina 04:49
2 Kanisa (Refix) Dizasta Vina 04:09
3 Machochoro Zote (Refix) 01:14
4 Nyumba Ndogo Innocent Mujwahuki 04:12
5 Sitaki Game Ngwesa 02:31
6 Mlengwa Ngwesa 03:28
7 Wild Noise Man DVD 02:35
8 Harder Lahil Paps 04:11
9 Siku Nikifa Abby Mp 03:29
10 Mengi Mengineyo Dabo 04:18

Historia ya kutolewa

hariri
Tarehe na miundo ya kutolewa kwa The Wonderboy Mixtape
Eneo Tarehe Lebo Muundo Kumb.
Tanzania December 27, 2017 Diski Gandamize (CD)
Sehemu Mbalimbali December 28, 2021
  • Upakuaji wa dijiti
  • Streaming

Marejeo

hariri
  1. Frank Lachman (2024-03-25). "Dizasta Vina: The Legendary Tanzanian Hip Hop Artist who is redefining the genre with his rare and unique rhymes" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-03-27. Iliwekwa mnamo 2024-07-25.
  2. THE WONDERBOY MIXTAPE, 2021-12-28, iliwekwa mnamo 2024-07-25
  3. The Wonderboy Mixtape by Dizasta Vina on Apple Music (kwa American English), 2021-12-28, iliwekwa mnamo 2024-08-09
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Wonderboy Mixtape kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.