Mkakao

(Elekezwa kutoka Theobroma)
Mkakao
(Theobroma cacao)
Mkakao
Mkakao
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malvales (Mimea kama mpamba)
Familia: Malvaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mpamba)
Jenasi: Theobroma
Spishi: T. cacao
L.

Mkakao (jina la kisayansi: Theobroma cacao) ni mti ambao maua na kwa hivyo matunda yake yamea juu ya shina au matawi. Kokwa hutumika kwa kutengeneza kakao, ambayo ni chanzo cha chokoleti.

Mkakao hulimwa sana nchini Ghana, lakini pia Tanzania maeneo kama vile Kyela.

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkakao kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.