Theodadi (kwa Kifaransa: Théodard; Montauban, 840 hivi - Montauban, 1 Mei 893) alikuwa askofu mkuu wa Narbonne (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 885.

Alikarabati kanisa kuu na kupigania nidhamu. Alipoanza kuugua, alihamia monasteri ya Wabenedikto alipofariki[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51570
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.