Theodgari (pia: Dieter, Thøger, Dietger, Dioter, Theodgardus; Thuringia, Ujerumani, 1000 hivi [1] - Vestervig, Udani, 24 Juni 1175 hivi) alikuwa padri ambaye aliinjilisha Norwei na hasa Denmark bara, alipojenga kanisa la kwanza kwa mbao [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[3][4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.