Thr33 Ringz[1] ni jina la kutaja albamu ya tatu ya mwimbaji na mtunzi wa R&B T-Pain. Albamu ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 11 Novemba 2008, ikaingia nafasi ya nne kwenye chati za albamu za Billboard 200 na nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums. Albamu imepokea tahakiki mchanganyiko kutoka kwa wataalamu ya kutathmini muziki. Albamu ilichaguliwa kwenye "Grammy Award - ikiwa kama albamu bora ya R&B", lakini ilipotezwa na albamu ya Beyoncé, I Am... Sasha Fierce.

Thr33 Ringz
Thr33 Ringz Cover
Studio album ya T-Pain
Imetolewa 11 Novemba 2008
Imerekodiwa 2007–2008
Aina Hip hop, pop rap, pop, R&B
Urefu 60:35 (Regular)
73:08 (Deluxe Edition)
Lebo Nappy Boy/Konvict/Jive/Zomba
Tahakiki za kitaalamu
Kava lingine
Import edition cover
Import edition cover
Single za kutoka katika albamu ya Thr33 Ringz
  1. "Can't Believe It"
    Imetolewa: 29 Julai 2008
  2. "Chopped & Skrewed"
    Imetolewa: 23 Septemba 2008
  3. "Freeze"
    Imetolewa: 17 Oktoba 2008


Orodha ya nyimbo

hariri
# Jina Urefu
1. "Welcome to Thr33 Ringz Intro"   2:27
2. "Ringleader Man"   2:54
3. "Chopped 'N' Skrewed" (akishirikiana na Ludacris) 4:21
4. "Take a Ride (Ringleader Man Skit)"   1:45
5. "Freeze" (akishirikiana na Chris Brown) 3:36
6. "Blowing Up" (akishirikiana na Ciara) 3:24
7. "Can't Believe It" (akishirikiana na Lil Wayne) 4:33
8. "It Ain't Me" (akishirikiana na Akon na T.I.) 3:45
9. "Feed the Lions (Ringleader Man Skit)"   1:28
10. "Therapy" (akishirikiana na Kanye West) 3:34
11. "Long Lap Dance"   4:36
12. "Reality Show" (akishirikiana na Musiq Soulchild, Raheem DeVaughn na Jay Lyriq) 5:27
13. "Keep Going"   2:14
14. "Superstar Lady" (akishirikiana na Young Ca$h) 3:17
15. "Change" (akishirikiana na Akon, Diddy & Mary J. Blige) 5:10
16. "Digital" (akishirikiana na Tay Dizm) 3:14
17. "Karaoke" (akishirikiana na DJ Khaled) 4:48

Chati na mauzo

hariri

Thr33 Ringz ikaingia #4 kwenye chati ya Billboard 200, ikaunza nakala 167,700 katika wiki yake ya kwanza.[2] Albamu ilitunukiwa Dhahabu, kwa kuuza nakala zaidi ya 530,000.[3]

Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard 200 4
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums 1
Australian Top 40 Urban Albums Chart 17
Canadian Albums Chart 25

Marejeo

hariri
  1. New T-Pain Album Due In Late September. Ilihifadhiwa 19 Julai 2008 kwenye Wayback Machine. Billboard.com. Accessed 22 Mei 2008.
  2. Langhorne, Cyrus (2008-11-19). "T-PAINS RINGS IN 167K IN FIRST WEEK SALES NUMBERS". Sohh.Com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-29. Iliwekwa mnamo 2010-03-14.
  3. "Auto-Tune Maker Cashes In On Hip Hop Trends | Get The Latest Hip Hop News, Rap News & Hip Hop Album Sales". HipHopDX. 2009-01-07. Iliwekwa mnamo 2010-03-14.

Viungo vya nje

hariri