Timotheo wa Gaza (alifariki Gaza, Palestina, 304) alikuwa Mkristo wa mji huo aliyevumilia kifodini kwa kuteswa sana na hatimaye kuchomwa moto taratibutaratibu chini ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa katika tarehe 19 Agosti[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.