Timu ya Taifa ya Kandanda ya Jibuti
Timu ya Taifa ya Kandanda ya Jibuti ambayo imepewa jina la utani la Riverains de la Mer Rouge (Shoremen of the Red Sea), ndiyo timu ya taifa la Jibuti. Iko chini ya Shirikisho la Kandanda la Jibuti, Fédération Djiboutienne de Football. Haikuingia katika mijuano ya akufuzu kwa Kombe la Dunia la 2006.
Shirt badge/Association crest | |||
Nickname(s) | Riverains de la Mer Rouge (Shoremen of the Red Sea) | ||
---|---|---|---|
Shirika | Fédération Djiboutienne de Football | ||
Kocha mkuu | Ahmed Abdelmonem | ||
Home stadium | Stade du Ville | ||
msimbo ya FIFA | DJI | ||
cheo ya FIFA | 189 | ||
Highest FIFA ranking | 169 (Desemba 1994) | ||
Lowest FIFA ranking | 201 (Desemba 2004) | ||
Elo ranking | 210 | ||
| |||
First international | |||
Ethiopia 5 - 0 French Somaliland (Ethiopia; 5 Desemba 1947) | |||
Biggest win | |||
Jibuti 4 - 1 Yemen Kusini (Djibouti, Djibouti; 26 Februari 1988) | |||
Biggest defeat | |||
Zambia 10 - 0 Jibuti (Zambia; 3 Septemba 2006) |
Hadi ushindi wake wa 1-0 dhidi ya Somalia, Jibuti haikuwahi kushinda mechi yoyote iliyoandaliwa na Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA).
Historia
haririKandanda ilianzishwa nchini Jibuti kabla ya Uhuru kutoka Ukoloni, huku ikichezwa san asana na Majeshi wa Kifaransa. Huku eneo hilo enzi hizo likiitwa French Somaliland, walikuwa wakishiriki katika mijuano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA kutoka 1930 hadi 1974. Hata hivyo hawakuwahi kufuzu kwa kombe hilo hata mara moja. Baada ya Uhuru mnamo 1977, Jibuti ilishirikishwa katika Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika lakini matokeo yake yalikuwa duni.
Jibuti haijawahi kucheza katika Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika, huku timu hiyo ikijitoa katika mashindano hayo mara mbili, mnamo 2004 na 2008..
Ilionekana katika michuano ya CECAFA mara ya kwanza nchini Kenya mnamo 1994 lakini ikashindwa kuzoa alama baada ya kupoteza mechi zote dhidi ya Kenya, Somalia na Tanzania katika mkondo wa kwanza. Katika mechi zote nane, timu hiyo iliweza kupata alama mbili baada ya kutoka sare mara mbili.
Rekodi ya Kombe la Dunia
hariri- 1930- Ilifika mechi ya Kufuzu
- 2002- Haikufuzu
Rekodi ya Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika
hariri- 2000- Haikufuzu
- 2002- Haikufuzu
- 2004- Ilijiondoa
- 2006- Haikuingia
- Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika la 2008- Ilijiondoa
Kombe la CECAFA
haririKombe la CECAFA | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaka | Mkondo | Idadi ya Mechi | Ilishinda | Sare | Ilishindwa | MAbao iliyofunga | Mabao iliyofungwa |
1973| to 1992 | Haikuingia | - | - | - | - | - | - |
1994 | Mkondo wa Kwanza | 3 | 0 | 0 | 3 | 2 | 9 |
1999 | Mkondo wa Kwanza | 2 | 0 | 0 | 2 | 2 | 6 |
2000 | Mkondo wa Kwanza | 4 | 0 | 1 | 3 | 2 | 15 |
2001 | Mkondo wa Kwanza | 3 | 0 | 0 | 3 | 3 | 17 |
2005 | Mkondo wa Kwanza | 4 | 0 | 0 | 4 | 2 | 18 |
2006 | Mkondo wa Kwanza | 3 | 0 | 0 | 3 | 0 | 10 |
2007 | Mkondo wa Kwanza | 3 | 0 | 0 | 3 | 2 | 19 |
2008 | Mkondo wa Kwanza | 4 | 0 | 1 | 3 | 2 | 13 |
2009 | Mkondo wa Kwanza | 3 | 0 | 0 | 3 | 0 | 13 |
Jumla | - | 29 | 0 | 2 | 27 | 15 | 120 |
Tazama Pia
hariri
Makala football about a national team bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Makala kuhusu Jibuti bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |