Tom Gilson

Muigizaji wa Marekani

Tom Gilson (New York City; 6 Januari 1934 - Van Nuys, California; 6 Oktoba 1962) alikuwa mwigizaji wa Kimarekani katika TV na filamu za mara kwa mara tangu miaka ya 1950.

Wasifu hariri

Nimzaliwa wa New York City, Ni mrefu na Mwenye nguvu alicheza majukumu katika mfululizo wa TV za magharibi kama vile Maverick, Lawman, Tales of Wells Fargo, Bat Masterson na Cheyenne, lakini labda sehemu yake inayokumbukwa zaidi ilikuwa katika kipande muhimu kwenye sitcom The Phil Silvers Show., ambayo alicheza kitofauti juu ya Elvis Presley inayojulikana kama "Elvin Pelvin." Mnamo 1960 Gilson alionekana kama Naibu Sheriff "Babe Riker" kwenye igizo la Cheyenne katika kipindi kilichoitwa "Alibi for the Scalped Man."

Gilson alifunga ndoa na Saundra Edwards (wote wanalionekana katika filamu ya The Crowded Sky, yeye akiwa abiria na Saundra ni mhudumu wa ndege) mnamo mwaka 1961 na walipata mtoto wa kiume, Tom Jr lakini ndoa yao ilikuwa yenye dhoruba na mbaya, na Saundra alimuacha Gilson na kuhamia nyumbani kwa dada yake huko Van Nuys, California baada ya tabia ya wazi ya ulevi na vitisho vya kuuwawa. Gilson alikwenda na kuvunja nyumba na kuingia ndani ndipo Saundra akampiga risasi na kumuua, akihofia usalama wake, usalama wa mtoto wake wa ndoa ya awali, na mtoto wake mdogo wa kiume. Ingawa jury coroner baadaye alihukumu mauaji hayo kama mauaji ya bila kukusudia. Hata hivyo muendelezo wa kazi ya Saundra haukua mzuri, na hakuwahi kuonekana katika filamu au programu nyingine ya TV.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tom Gilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.