Tomais wa Aleksandria
Tomais wa Aleksandria (aliuawa 476) alikuwa mwanamke Mkristo wa mji huo wa Misri aliyekataa kuzini na babamkwe wake ambaye kwa sababu hiyo alimkata vipande viwili kwa upanga.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |