7 Februari
tarehe
(Elekezwa kutoka Februari 7)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Februari ni siku ya thelathini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 327 (328 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1550 - Uchaguzi wa Papa Julius III
Waliozaliwa
hariri- 1478 - Mtakatifu Thomas More, mwanasheria mfiadini kutoka Uingereza
- 1812 - Charles Dickens, mwandishi Mwingereza
- 1885 - Sinclair Lewis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1930
- 1905 - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 1962 - Eddie Izzard, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1972 - Essence Atkins, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1985 - Tegan Moss, mwigizaji kutoka Kanada
Waliofariki
hariri- 590 - Papa Pelagio II
- 1045 - Go-Suzaku, mfalme mkuu wa Japani (1036-1045)
- 1812 - Mtakatifu Egidi Maria wa Mt. Yosefu, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1816 - Mtakatifu Yohane wa Triora, O.F.M., padre kutoka Italia, mmisionari na mfiadini nchini Uchina
- 1878 - Mwenye heri Papa Pius IX
- 1937 - Elihu Root, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1912
- 2000 - Big Pun, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2001 - King Moody, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2007 - Alan MacDiarmid, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 2013 - Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Nola, Parteni wa Lampsako, Musa Mwarabu, Laurenti wa Manfredonia, Juliana wa Firenze, Rikardo wa Lucca, Luka Kijana, Egidi Maria wa Mt. Yosefu, Yohane wa Triora n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |