Toumani Diabaté (10 Agosti 1965 - 19 Julai 2024) alikuwa mpiga kora maarufu kutoka nchini Mali. Alijulikana sana kwa mchango wake katika muziki wa jadi wa Afrika Magharibi. Aliendelea kuutambulisha kimataifa kupitia ushirikiano na wasanii mbalimbali maarufu. Wasanii hao ni pamoja na Taj Mahal (Marekani), Damon Albarn (Uingereza), Björk (Iceland), Roswell Rudd (Marekani), Ketama (Hispania), Buena Vista Social Club (Cuba), na Arve Henriksen (Norway).

Diabate akiwa jijini Toronto, Canada, 2007.

Mbali na kutumbuiza muziki wa jadi wa Mali, alihusika katika ushirikiano wa kitamaduni katika mitindo ya flamenco, blues, jazz na mitindo mingine ya kimataifa katika tasnia ya muziki.[1] Mnamo mwaka 2006, gazeti la jijini London The Independent lilimuweka katika orodha yao ya wasanii bora hamsini wa Afrika.[2] Katika tanzia yake, The Times ilimuelezea kama "mtunzi wa muziki mwenye ujasiri na mbunifu."[3]

Diskografia

hariri
 
Diabaté akitumbuiza katika Tamasha la Folk la Winnipeg mwaka 2007

Filmografia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Larkin90
  2. Maal, Baaba; Ankomah, Owusu; Birrell, Ian; Busby, Margaret; Casely-Hayford, Augustus; Holt, Thelma; Harding, Frances; Maqoma, Gregory; Shiri, Keith (1 Desemba 2006). "Art of Africa: The 50 best African artists". The Independent. London: Independent News & Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Aprili 2008. Iliwekwa mnamo 13 Mei 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "The Times Register Obituary Toumani Diabaté, Malian master of the kora". The Times. 26 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Toumani Diabaté". African Music Library. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "BBC – Awards for World Music 2008". BBC. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Kleen, Lucas (20 Julai 2023). "New Ancient Strings, a modern classic". PAM – Pan African Music. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Lusk, Jon. "BBC – Music – Review of Toumani Diabaté – Mandé Variations". BBC. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Embley, Jochan (15 Aprili 2020). "WFH album of the week: The Ripple Effect by Béla Fleck/Toumani Diabate". Evening Standard. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Honigmann, David. "Kayhan Kalhor and Toumani Diabaté: The Sky Is the Same Colour Everywhere – two virtuosos collaborate". Financial Times. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "Bamako is a Miracle". Chicago Reader. 17 Desemba 2004. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Click-click, tick-tick". Film Freeway. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.