Trieste

Trieste ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Friuli-Venezia Giulia katika Italia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 205,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 2 juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Trieste


Trieste
Majiranukta: 45°38′00″N 13°48′00″E / 45.63333°N 13.80000°E / 45.63333; 13.80000
Nchi Italia
Mkoa Friuli-Venezia Giulia
Wilaya Trieste
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 203,374
Tovuti:  www.retecivica.trieste.it

PichaEdit

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trieste kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.