Troiani wa Saintes

Troiani wa Saintes (alifariki karibu na Saintes, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 532) alikuwa askofu wa mji huo miaka 511 - 532[1].

Anafikiriwa kuwa mwandishi wa barua kwa Eumeri wa Nantes inayopatikana katika Patrologia Latina, 67[2].

Gregori wa Tours anasimulia alivyoheshimiwa na wengi kwa maadili yake[3].

Hata leo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Februari[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/40370
  2. Louis Duchesne, Fastes piscopaux de l'ancienne Gaule. Tome 2: L'Aquitaine et les Lyonnaises, p. 362.
  3. Raymond Van Dam (1988): Gregory of Tours: Glory of the Confessors, p. 42.
  4. Catholic Online page.
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • William Smith, Henry Wace, A Dictionary of Christian Biography, Literature, Sects and Doctrines. Volume IV, article Trojanus, p. 1054.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.