TvN (kifupisho cha: Total Variety Network) ni mtandao wa runinga ya kulipia ya Korea Kusini inayomilikiwa na idara ya E&M ya CJ ENM. Programu ya TvN inanapatikana kwa kebo, kwenye setilaiti kupitia SkyLife, na majukwaa ya IPTV huko Korea Kusini.

Logo tvN.svg