Ubalozi Mdogo wa Uingereza, Zanzibar

Ubalozi Mdogo wa Uingereza, Zanzibar ulifunguliwa mnamo 1841, ulijengea kimkakati katika maeneo ya biashara karibu na ufukwe wa bahari.

Ubalozi Mdogo wa Uingereza, Zanzibar.

Historia hariri

Jengo hilo linasemekana lilikuwa kwa nyakati tofauti makazi ya wachunguzi maarufu, Speke, Burton na Dk Livingstone. Mnamo 1874 ubalozi ulihamishiwa Mambo Msiige na nyumba hiyo ikachukuliwa na Kampuni ya Smith MacKenzie hadi mwaka 1974 ilipogeuzwa kuwa ofisi ya serikali. [1]

  Makala hii kuhusu majengo ya kihistoria Zanzibar bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ubalozi Mdogo wa Uingereza, Zanzibar kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo hariri