Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015 ulifanyika tarehe 25 Oktoba. Wapiga kura walimchagua Rais, wabunge na Madiwani.

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015
Tanzania
2010 ←
25 Oktoba 2015 (2015-10-25)[1]
→ 2020

 
Mgombea John Magufuli Edward Lowassa
Chama Chama Cha Mapinduzi CHADEMA
Mgombea mwenza Samia Suluhu Juma Duni HajiIncumbent President

Jakaya Kikwete
CCM

Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa Chadema.[2]. Kadiri ya tume hiyo, Magufuli alipata kura 8,882,935, sawa na asilimia 58.46 na Lowassa alipata kura 6,072,848, sawa na asilimia 39.97. Hata hivyo wapinzani walikataa kukubali matokeo hayo na wasimamizi wa uchaguzi kutoka nje walilaumu sana baadhi ya taratibu na matukio.

Wagombea Urais

hariri
Mgombea Mgombea Mwenza Chama
Anna Elisha Mghwira[3] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT)
Edward Lowassa[3] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Fahmi Nassoro Dovutwa[3] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)
Hashim Rungwe Spunda[3] Issa Abas Hussein Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
Janken Malik Kasambala[3] Simai Abdulrahman Abdulla National Reconstruction Alliance (NRA)
John Magufuli[3] Samia Suluhu Chama Cha Mapinduzi
Lutalosa Yembe[3] Said Miraj Abdallah Alliance for Democratic Change (ADC)
Machmillan Elifatio Lyimo[3]
?
Tanzania Labour Party (TLP)

Uchaguzi wa Bunge 2015

hariri
Chama Kura % Wabunge
wa majimbo wa chama Jumla +/–
Chama Cha Mapinduzi 8,021,427 55.04 188 64 252
Chama cha Demokrasia na Maendeleo 4,627,923 31.75 34 36 70
Civic United Front CUF 1,257,765 8.63 32 10 42
Alliance for Change and Transparency 323,112 2.22 1 0 1
NCCR–Mageuzi 218,209 1.50 1 0 1
Chama cha Ukombozi wa Umma 23,058 0.16 0 0 0 0
Democratic Party 14,471 0.10 0 0 0 0
United Democratic Party 13,757 0.09 0 0 0 –1
Tanzania Labour Party 13,098 0.09 0 0 0 –1
ADA–TADEA 12,979 0.09 0 0 0 0
Alliance for Democratic Change 12,420 0.09 0 0 0 0
Chama cha Haki na Ustawi 8,217 0.06 0 0 0 0
Alliance for Tanzania Farmers Party 7,498 0.05 0 0 0 0
United People's Democratic Party 3,772 0.03 0 0 0 0
Jahazi Asilia 3,344 0.02 0 0 0 0
Progressive Party of Tanzania – Maendeleo 3,037 0.02 0 0 0 0
Chama Cha Kijamii 2,310 0.02 0 0 0 0
National League for Democracy 2,082 0.01 0 0 0 0
Union for Multiparty Democracy 1,975 0.01 0 0 0 0
Sauti ya Umma 1,810 0.01 0 0 0 0
National Reconstruction Alliance 1,467 0.01 0 0 0 0
Demokrasia Makini 1,226 0.01 0 0 0 0
Walioteuliwa na rais 10
Kura zilizoharibika
Jumla 14,574,957 100 256 110 366 +17
Source: NEC, IPU

Marejeo

hariri
  1. Raphaely, Lawrence. "NEC sets October 25 as general elections date", 26 May 2015. Retrieved on 2015-08-12. Archived from the original on 2015-07-07. 
  2. "John Magufuli Declared Winner in Tanzania’s Presidential Election", The New York Times, 29 October 2015. Retrieved on 30 October 2015. 
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 3.4 3.5 3.6 3.7 "Uteuzi wa Wagombea Urais". National Electoral Commission. 21 Agosti 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-08-29. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)