Ukwega
Ukwega ni kata ya Wilaya ya Kilolo katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, yenye Postikodi namba 51310.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 7,915 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,195 waishio humo.[2] Mwaka 2015 kata hiyo iligawanywa na kuuda kata nyingine iitwayo Kising'a.
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Kilolo - Tanzania | ||
---|---|---|
Boma la Ng'ombe | Dabaga | Ibumu | Idete | Ihimbo | Ilula | Image | Irole | Kimala | Kising'a | Lugalo | Mahenge | Masisiwe | Mlafu | Mtitu | Ng'ang'ange | Ng'uruhe | Nyalumbu | Nyanzwa | Ruaha Mbuyuni | Udekwa | Uhambingeto | Ukumbi | Ukwega |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ukwega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |