Ulunma Jerome

Mwanasoka wa Nigeria

Ulunma Jerome (alizaliwa 11 Aprili 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Pitea ya Uswidi katika ligi ya Damallsvenskan. Jerome pia amecheza katika timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Mechi yake ya kwanza alicheza akiwa na klabu ya Pitea dhidi ya Linköping tarehe 13 Aprili 2011 katika ligi ya Damallsvenskan.[1]

Marejeo hariri

  1. "Falcons Dismiss Banyana", Vanguard, 4 November 2010. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulunma Jerome kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.