Umande jua

Umande-jua
(Drosera spp.)
Umande jua (Drosera tokaiensis)
Umande jua (Drosera tokaiensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Core eudicots (Mimea kama alizeti)
Oda: Caryophyllales (Mimea kama fungu)
Familia: Droseraceae
Salisb.
Jenasi: Drosera
L.

Mmea wa Umande-jua, ni mmojawapo wa mimea ya jenasi ya Drosera ambayo ni mojawapo ya jenasi kubwa zaidi ya mimea ambao hula nyama. Jenasi ya Drosera ina spishi 188[1]. Mimea hii ya familia ya Droseraceae huwavutia, kuwashika na kuwaua wadudu kwa kutumia viungo vyenye kuzalisha maji yenye gundi. Wadudu hawa hupendwa na umandejua kwa sababu mmea wenyewe unamea katika ardhi isiyokuwa na rotuba ya kutosha. Spishi mbalimbali, ambazo huwa na maumbo tofauti hupatikana katika mabara yote isipokuwa Bara la Antaktiki.

Sifa za mmeaEdit

Umande jua ni mimea inayodumu kwa miaka nyingi (lakini baadhi ya spishi hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu). Ina maua madogomadogo yaliyosimama ambayo ni karibu sentimita 1 (incha 0.4) na mita 1 (futi 10) kwa urefu ikitegemea ni spishi ipi .Spishi zinazopanda huwa na shina zinazoweza kuwa ndefu sana hata kufikia mita 3. kama vile spishi ya D. erythrogyne.[2]

Imebainika kuwa mmea wa umande jua unaweza kuishi kwa kipindi cha hata miaka 50.[3] Jinasi hii imezoea zaidi kupata chakula kupitia kula wadudu kiasi kwamba enzaimu ya aina ya naitreti riadaktesi[4]) ambayo kawaida hutumiwa na mimea kupandishia naitreti haipo.

PichaEdit

Maandiko ya chiniEdit

 1. McPherson, S.R. 2008. Glistening Carnivores. Redfern Natural History Productions Ltd., Poole.
 2. Mann, Phill (2001). The world's largest Drosera Archived Septemba 29, 2011 at the Wayback Machine.; Carnivorous Plant Newsletter, Vol 30, #3: pg 79.
 3. Barthlott et al., Karnivoren, p. 102
 4. Karlsson PS, Pate JS (1992). "Contrasting effects of supplementary feeding of insects or mineral nutrients on the growth and nitrogen and phosphorus economy of pygmy species of Drosera". Oecologia 92: 8–13. doi:10.1007/BF00317256 .

MarejeoEdit

Vitu vingi katika makala haya vinatoka katika tafsiri ya Kijerumani ya makala haya ya wikipedia article (retrieved 30 Aprili 2006).

 • Barthlott, Wilhelm; Porembski, Stefan; Seine, Rüdiger; Theisen, Inge: Karnivoren. Stuttgart, 2004, ISBN 3-8001-4144-2
 • Correa A., Mireya D.; Silva, Tania Regina Dos Santos: Drosera (Droseraceae), in: Flora Neotropica, Monograph 96, New York, 2005
 • Darwin, Charles: Insectivorous Plants, 1875
 • Lowrie, Allen: Carnivorous Plants of Australia, Vol. 1-3, English, Nedlands, Western Australia, 1987 - 1998
 • Lowrie, Allen: A taxonomic revision of Drosera section Stolonifera (Droseraceae) from south-west Western Australia, 2005, Nuytsia 15(3):355-393. (Online: http://science.calm.wa.gov.au/nuytsia/15/3/355-394.pdf Archived Agosti 19, 2006 at the Wayback Machine.)
 • Olberg, Günter: Sonnentau, Natur und Volk, Bd. 78, Heft 1/3, pp. 32–37, Frankfurt, 1948
 • Rivadavia, Fernando; Kondo, Katsuhiko; Kato, Masahiro und Hasebe, Mitsuyasu: Phylogeny of the sundews, Drosera (Droseraceae), based on chloroplast rbcL and nuclear 18S ribosomal DNA Sequences, American Journal of Botany. 2003;90:123-130. (Online: http://www.amjbot.org/cgi/content/full/90/1/123)
 • Seine, Rüdiger; Barthlott, Wilhelm: Some proposals on the infrageneric classification of Drosera L., Taxon 43, 583 - 589, 1994
 • Schlauer, Jan: A dichotomous key to the genus Drosera L. (Droseraceae), Carnivorous Plant Newsletter, Vol. 25 (1996)

Viungo vya njeEdit

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Umande jua kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.