Uprogramishaji kiviumbile

Katika utarakilishi, uprogramishaji kiviumbile (kwa Kiingereza: object-oriented programming) ni aina ya uprogramishaji ambapo programu zinaumbwa na kuzingatia kuhusu viumbile (vipengele vya lugha za programu).

Masomo kuhusu uprogramishaji kiviumbile.

Kwa mfano, uprogamishaji kiviumbile unatumika kwenye lugha za programu kama Python au JavaScript.

MarejeoEdit

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.