Aina ya uprogramishaji
Katika utarakilishi, aina ya uprogramishaji (kwa Kiingereza: programming paradigm) ni njia ya kupanga lugha za programu kulingana na umbo husika.

Mchoro wa aina za uprogramishaji.
Kwa mfano, uprogramishaji kiviumbile unatumika kwenye Python au JavaScript na uprogramishaji kikadhia unatumika kwenye Haskell au PHP.
MarejeoEdit
- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.