Urbisi (aliishi katika karne ya 5) alikuwa askofu wa kumi na tano wa Metz (leo nchini Ufaransa)[1].

Mt. Urbisi katika dirisha la kioo cha rangi.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Le Diocèse de Metz, sous la direction de Henri Tribout de Morembert, Letouzey & Ané, Paris, 1970.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.