Urias McGill
Urias Africanus McGill (1823 – 1866)[1] alikuwa chotara wa Kiafrika na Kimarekani ambaye alihamia nchini Liberia na familia yake mnamo karne ya 19.[2]
Alikuwa mmoja wa wanafamilia katika familia iliyojulikana sana ya McGill (Monrovia), yeye na kaka zake walianzisha biashara ambazo zina mafanikio makubwa huko Monrovia.[1][3]
BiografiaEdit
Urias McGill alizaliwa huko Baltimore, Maryland, baba yake akiwa George R. na mama yake akiwa Angelina McGill. Alipokuwa na umri wa miaka nane, yeye pamoja na familia yake walihamia nchini Liberia. Mama yake alifariki muda mfupi baada ya wao kufika Monrovia mnamo Februari mwaka 1831. Mnamo mwaka 1854 Urias na kaka zake watatu waliunda kampuni ya biashara ya McGill Brothers.[4]
MarejeoEdit
- ↑ 1.0 1.1 A Durable Memento: Portraits by Augustus Washington, African American Daguerreotypist.
- ↑ Liberia: 19th Century Colonists. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-02-23. Iliwekwa mnamo 2015-11-09.
- ↑ Black History Month, Week 4: PHOTOGRAPHERS (2012-02-22).
- ↑ American Colonization Society (1872). The African Repository 48. American Colonization Society., 299. Retrieved on 2015-11-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Urias McGill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |