Utalii nchini Afrika Kusini
Afrika Kusini ni kivutio cha watalii na sekta hiyo inachangia kiasi kikubwa cha mapato ya nchi. Wakala rasmi wa Utalii wa Afrika Kusini ana jukumu la kuitangaza Afrika Kusini kwa ulimwengu. Kulingana na Baraza la Utalii Duniani, sekta ya utalii ilichangia moja kwa moja ZAR bilioni 102 katika Pato la Taifa la Afrika Kusini mwaka 2012, na inasaidia 10.3% ya nafasi za kazi nchini. [1][2]
Idadi ya watalii wanaoingia kila mwaka
haririWatalii walio wasili kutoka ichi za 10 SADC [3] | Watalii kutoka nchi nyingine [4] | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Ranking | Country
of origin |
Visitor arrivals
2015 |
% Total
arrivals |
Ranking | Country
of origin |
Visitor arrivals
2015 |
% Total
arrivals |
1 | Zimbabwe | 1 900 791 | 28.9 | 1 | Ufalme wa Muungano | 407 486 | 19.0 |
2 | Lesotho | 1 394 913 | 21.2 | 2 | Marekani | 297 226 | 13.9 |
3 | Mozambique | 1 200 335 | 18.3 | 3 | Ujerumani | 256 646 | 12.0 |
4 | Eswatini | 838 006 | 12.7 | 4 | Ufaransa | 128 438 | 6.0 |
5 | Botswana | 593 514 | 9.0 | 5 | Uholanzi | 121 883 | 5.7 |
6 | Namibia | 212 514 | 3.2 | 6 | Australia | 99 205 | 4.6 |
7 | Zambia | 161 259 | 2.5 | 7 | China | 84 691 | 3.9 |
8 | Malawi | 135 260 | 2.1 | 8 | India | 78 385 | 3.7 |
9 | Angola | 48 416 | 0.7 | 9 | Kanada | 56 224 | 2.6 |
10 | Tanzania | 35 817 | 0.5 | 10 | Italy | 52 377 | 2.4 |
Marejeo
hariri- ↑ "Travel & Tourism Economic Impact 2013 South Africa" (PDF). WTTC. Machi 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Machi 2014. Iliwekwa mnamo 20 Novemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Cabinet appoints new SA Tourism Board".
- ↑ "Statistics SA: Tourism 2015" (PDF).
- ↑ "Statistics SA: Tourism 2015" (PDF).
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |