Uys Krige

Mshairi na mfasiri wa Kiafrikana

Uys Krige (4 Februari 1910 - 10 Agosti 1987) alikuwa mwandishi wa habari wa Afrika Kusini. Hata hivyo aliandika mitindo mingi tofauti kama riwaya, hadithi fupi, mashairi na tamthiliya iwe kwa Kiingereza, iwe kwa Kiafrikaans. Pia alitafsiri vitabu vingi kama tamthiliya za Shakespeare katika Kiafrikaans.

Angalia pia

hariri

Marejeo

hariri
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uys Krige kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.