Ziwa Vänern
(Elekezwa kutoka Vänern)
[[
]]
| |
Mahali | 58°55′N 13°30′E / 58.917°N 13.500°E |
Nchi zinazopakana | Uswidi |
Eneo la maji | km2 5,519 |
Kina cha chini | m 106 |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB |
m 44 |
Ziwa Vänern ni ziwa kubwa kabisa nchini Uswidi na pia kubwa zaidi katika Umoja wa Ulaya. Ziwa hilo linapatikana katika kusini ya Uswidi.
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- media kuhusu Vänern pa Wikimedia Commons
- Tovuti rasmi
- Makumbusho ya Vänern mjini Lidköping Ilihifadhiwa 26 Juni 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Vänern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |