Valero wa Onhaye (pia: Walhère; Bouvignes-sur-Meuse, Ubelgiji, karne ya 12 - 23 Juni 1199) alikuwa padri ambaye anasemekana kuuawa kwa kasia na padri mwingine, mtoto wa ndugu yake, wakati wa kuvuka Mto Meuse kwa sababu ya kumuonya aache maovu yake. [1].

Masalia yake yanamotunzwa.

Tangu kale ameheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.