Viatori wa Sologne

Viatori wa Sologne (pia: Viator, Viateur, Viàtre; aliishi Ufaransa karne ya 6) alikuwa mkaapweke katika misitu ya Sologne [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 5 Agosti[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.