Vihisishi
Vihisishi ni maneno yanayodokeza vionjo au miguso ya moyo au ya akili.
Vionjo vya moyo huweza kuwa vya furaha au huzuni.
Maneno hayo kwa kawaida hupewa alama ya mshangao (!), au hutengwa kwa mkato (,) yatokeapo katika maandishi.
Mfano wa maneno hayo ni loo!, ebu!, la asha! n.k.
Kila kihisishi huweza kuibua hisia mahususi. kwa hiyo ni vyema kutumia kihisishi kinachofaa.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vihisishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |