Vikta wa Afrika (kwa Kilatini: "Victor", yaani "Mshindi"; alifariki 250 hivi) alikuwa Mkristo aliyefia imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Augustino wa Hippo alitoa hotuba juu yake.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Machi[1][2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.