Vikta wa Campbon

(Elekezwa kutoka Vikta wa Nantes)

Vikta wa Campbon (pia: Victor; aliishi Ufaransa Kaskazini Magharibi karne ya 6 au ya 7) alikuwa mkaapweke aliyejifungia katika kikanisa karibu na kijiji chake [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Agosti[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.