Virginia Raffaele
Virginia Raffaele (alizaliwa Roma, 27 Septemba 1980) ni mchekeshaji Mwitalia, mwigizaji, mwigaji na mtangazaji.
Virginia Raffaele | |
---|---|
Maisha na kazi
haririVirginia Raffaele ni binti wa wasanii wawili wa sarakasi,[1][2] Raffaele alisomea ngoma ya kitambo na kisasa kwenye Chuo cha kitaifa cha Densi cha Roma na mnamo 1999 alihitimu katika Accademia Teatro Integrato iliyoongozwa na Pino Ferrara.[3]
Alianza kazi yake kwenye jukwaa, mara nyingi akifanya kazi kama naibu ya wachekeshaji wawili Lillo & Greg [1][3] kundi ya wawili ya vichekesho baada ya kuanza kama mwandishii kwenye programu ya Rai 2 Quelli che... il Calcio,[3] Alijulikana kwa uigaji wake na ubishi katika Italia 1 show Mai dire Grande Fratello Show. Kisha alionekana kwenye maonyesho mengine kadhaa, pamoja na "Victor Victoria", Striscia la notizia, vipindi viwili vya Le invasioni barbariche na "Amici". Alionekana pia kama mwigizaji katika filamu kadhaa na safu za runinga .[1]
Baada ya kuonekana kama mgeni katika toleo la 65 la Tamasha la Muziki la Sanremo, Raffaele alichaguliwa kuandaa mwaliko wa Sanremo Music Festival 2016 | toleo la 66 na kuwa mwenyeji wa Sanremo Music Festival 2019 | Toleo la 69 ya Tamasha.[1][2]
Filmogafia
haririMwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
2004 | Ladri di barzellette | Muigizaji | Cameo appearance |
2005 | Romanzo Criminale | Nicolino's girlfriend | |
2011 | Faccio un salto all'Avana | Annaclara | |
2012 | Love Is in the Air | Juanita | |
2013 | The Fifth Wheel | Mara | |
2014 | Big Hero 6 | Cass Hamada | Kiitalia; Sauti |
A Woman as a Friend | Patrizia | ||
2019 | The Addams Family | Morticia Addams | Kiitalia; Sauti |
Mwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
2005 | Bla Bla Bla | Yeye mwenyewe/ Mwigizaji | Onyesho anuwai; Toleo la 15 |
Il maresciallo Rocca | Virginia | Toleo : "Il male ritorna" | |
2006–2007 | NormalMan | Mrs. Cassani | Mhusika mkuu; Toleo la 22 |
2008 | Domenica in | Yeye mwenyewe/ Mgeni | Kipindi cha mazungumzo |
2009 | L'onore e il rispetto | Yeye mwenyewe | Toleo: "Quarto episodio" |
2009–2010 | Victor Victoria | Yeye mwenyewe/ Mgeni | Kipindi cha mazungumzo |
2010–2013 | Quelli che... il Calcio | Yeye Mwenyewe/ Msanii | Onyesho anuwai |
2012 | 2012 Concerto del Primo Maggio | Yeye Mwenyewe | Tamasha |
2013 | 2013 MTV Awards | Yeye mwenyewe/ Host | Tukio |
Striscia la notizia | Yeye mwenyewe/ Mgeni | Onyesho anuwai | |
2015–2016 | Amici di Maria De Filippi | Yeye mwenyewe/ Mgeni maalum | Onyesho la talanta |
2016 | 2016 Sanremo Music Festival | Yeye mwenyewe/ mwenyeji mwenza | Tamasha la muziki la kila mwaka |
Dov'è Mario? | Marika | Toleo: "Secondo episodio" | |
Stasera Casa Mika | Yeye mwenyewe/ Mgeni | Onyesho la muziki | |
2018 | Come quando fuori piove | Gregoria | Mhusika mkuu; Toleo la 6 |
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 "Sanremo 2016, il ritratto di Virginia Raffaele", Il Fatto Quotidiano, 3 February 2016. (it)
- ↑ 2.0 2.1 "Virginia Raffaele, dalle imitazioni a Sanremo", TV Sorrisi e Canzoni, 15 January 2016. Retrieved on 2021-05-12. (it) Archived from the original on 2017-02-16.
- ↑ 3.0 3.1 3.2 "Motor Show, apre 37/a edizione, madrina e' Virginia Raffaele", Ansa, 5 December 2012. (it)
Viungo vya nje
hariri- media kuhusu Virginia Raffaele pa Wikimedia Commons
- Virginia Raffaele at the Internet Movie Database
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Virginia Raffaele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |