Visenti Madelgari
Visenti Madelgari (pia: Mauger; labda Hainaut, 610 hivi [1] - Soignies, leo nchini Ubelgiji, 677 hivi), alikuwa Mkristo aliyeanzisha monasteri mbili akawa abati.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Maisha
haririAlimuoa Vatrude [3] aliyemzalia watoto 4 (Landeriki, Dentelini, Aldetruda na Madelberta), ambao wote nane ni watakatifu[4][5].
Watoto walipokuwa wamekua, alitawa kwa kibali cha mkewe ambaye pia anaheshimiwa kama mtakatifu [6].
Tanbihi
hariri- ↑ Odden, Per Einar. "Den hellige Vincent Madelgarius (~615-677)", Den katolske kirke, April 20, 2004
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Butler, Alban. The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints James Duffy, 1866, p. 66
- ↑ Saint of the Day, April 9: Waldetrudis of Mons Archived 30 Desemba 2019 at the Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
- ↑ "St. Waldetrudis" at Catholic.org
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92756
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |