Viviani wa Saintes

Viviani wa Saintes (419 hivi - Saintes, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 460/490) alikuwa askofu wa mji huo [1][2].

Mt. Viviani (1803).
Kanisa la Saintes, lililojengwa juu ya masalia yake.

Gregori wa Tours amesimulia habari zake[3].

Hata leo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Agosti[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Chanzo hariri

  • Anonymus: Vita S. Bibiani, Sanctonensis Episcopi. 1729

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.