Wadaasanach
Wadaasanach (pia: Wadasenach, Wadassanech, Wamarille au Wageleba) ni kabila la watu wa jamii ya Waniloti wanaoishi karibu na ziwa Turkana katika nchi tatu: Ethiopia (50,000[1]), Kenya na Sudan Kusini.
Lugha yao ni Kidaasanach, mojawapo kati ya lugha za Kikushi[2].
Pamoja na kuendeleza desturi ya ufugaji, siku hizi wengi huwa wanalima pia.
Tanbihi
hariri- ↑ "Census 2007" Ilihifadhiwa 4 Juni 2012 kwenye Wayback Machine., first draft, Table 5. A further 1,469 are recorded as being "Murle".
- ↑ Raymond G. Gordon Jr., ed. 2005. Ethnologue: Languages of the World. 15th edition. Dallas: Summer Institute of Linguistics. Ethnologue entry for Daasanach
Marejeo
hariri- Uri Almagor, "Institutionalizing a fringe periphery: Dassanetch-Amhara relations", pp. 96–115 in The Southern Marches of Imperial Ethiopia (ed. Donald L. Donham and Wendy James), Oxford: James Currey, 2002.
- Claudia J. Carr, Pastoralism in Crisis: the Dassanetch of Southwest Ethiopia. University of Chicago. 1977.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wadaasanach kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |