Wadahalo ni kabila lenye asili ya Kikhoisan linalokalia tangu kale pwani ya Kenya (Kaunti ya Tana River). Wanakadiriwa kuwa chini ya 1,000 [1].

Lugha mama yao ni Kidahalo, mojawapo kati ya lugha za Kikushi ambayo ina sifa za pekee kabisa katika ya lugha zote duniani.

Wana undugu wa asili na Waaweer na Waata nao wote wanaitwa Wasanye.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadahalo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.