Wasanye
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Wasanye ni jina linalotumika kwa makabila matatu madogo ya Kenya yenye asili ya Wakhoisan yaliyo wakazi wa kwanza wa nchi hiyo, kabla ya kuingia Wakushi, Wabantu na Waniloti. Makabila hayo ni: Waata, Waaweer na Wadahalo.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasanye kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |