Wadatoga
Kabila la Jamii Asilia Nchini Tanzania
(Elekezwa kutoka Wadatooga)
Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.
Mwaka 2000 walikadiriwa kuwa 87,978.[1]
Lugha yao ni Kidatooga, ingawa lahaja zake zinatofautiana kiasi kwa kufanya maelewano kuwa magumu.
Kuna walau makundi saba:
- Wabajuta
- Gisamjanga (Kisamajeng, Gisamjang)
- Wabarabayiiga (Barabaig, Barabayga, Barabaik, Barbaig)
- Waasimjeeg (Tsimajeega, Isimijeega)
- Warootigaanga (Rotigenga, Rotigeenga)
- Waburaadiiga (Buradiga, Bureadiga)
- Wabianjiida (Biyanjiida, Utatu)
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wadatoga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |