Wadja Egnankou

mwanamazingira kutoka Cote d'Ivoire

Wadja Egnankou ni mwanasayansi kutoka Cote d'Ivoire na mtafiti katika Chuo Kikuu cha Abidjan. Alipokea Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1992 kwa juhudi zake za kulinda misitu ya mikoko ya nchi.[1][2]


[Mbegu-mtu}}

Marejeo hariri

  1. "Africa 1992. Wadja Egnankou". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-02. Iliwekwa mnamo 9 Septemba 2009. 
  2. https://www.greengrants.org/2018/04/19/heroes/