Waelgeyo ni jina la kabila dogo ambalo huhesabiwa katika kabila kuu la Wakalenjin. Wanaishi katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet, nchini Kenya.

Lugha hariri

Waelgeyo huongea Kikeiyo, lahaja maalumu ya lugha ya Kikalenjin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waelgeyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.