Kikalenjin
Kikalenjin ni lugha za Kinilo-Sahara zinazozungumzwa na Wakalenjin nchini Kenya. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikalenjin ilihesabiwa kuwa zaidi ya watu milioni 5. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kikalenjin kiko katika kundi la Kiniloti.
Miongoni mwa lugha za Kikalenjin ni Kikeiyo, Kikipsigis, Kimarkweeta, Kinandi, Kiokiek, Kipokoot, Kisabaot, Kiterik na Kitugen.
Kwandanyo ne mi barak kipsengwet,
Ingotililit kaineng'ung.
Ingonyo bounateng'ung.
Ingoyaak eng' ng'ony mageng'ung',
Ko u ye kiyaei eng' kipsengwet.
Konech rani amitwogikyok che bo ra.
Ak inyoiywech kaat lelutikyok,
ko u ye kinyochini kaat che lelwech.
Amemutech ole mi yomset,
ago soruech eng' ne ya.
Amu neng'ung' bounatet, ak kamuktaet, ak torornatet, agoi koigeny.
Amen.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikalenjin kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikalenjin Ilihifadhiwa 29 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikalenjin katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kln
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikalenjin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |