Wanas (kwa Kiarabu: القديس ونس; alifariki karne ya 4) ni jina la mtoto wa Misri aliyeuawa kwa kukatwa kichwa kutokana na juhudi zake katika kueneza imani ya Kikristo[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kikopti kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Novemba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "موضوع كامل عن القديس الأنبا ونس". saintmarychurchinkaf.alhamuntada.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-15. Iliwekwa mnamo 2018-01-15. 
  2. "قصة الانبا ونس". elmanhry.mam9.com. Iliwekwa mnamo 2018-01-15. 
  3. "سيرة القديس الشهيد الانبا ونس الاقصرى st anba wanas". whitemonastery.yoo7.com. Iliwekwa mnamo 2018-01-15. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.