Wayne Rooney

Wayne Rooney ni mchezaji wa kandanda anayeichezea timu ya Manchester United.

Rooney akiichezea Machester United mwaka 2016

Amezaliwa tarehe 28 Oktoba 1985 katika mji wa Liverpool katika nchi ya Uingereza.

Mchezaji huyo anavaa jezi namba 10 na anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.

Mchezaji huyo analipwa mshahara mkubwa kuliko wote Uingereza, analipwa paundi 300,000 kwa wiki.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wayne Rooney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.