Kabari
(Elekezwa kutoka Wedge (mechanics))
Kabari (kwa Kiingereza wedge) ni chombo kinachotumiwa kwa kupasua kitu au gimba, pia kwa kutenganisha vitu viwili vilivyoshikamana. Umbo lake linafanana na pembetatu nyembamba.
Kifizikia inatumia kanuni za bapa betuko, hivyo inaitwa pia "mashine sahili".[1]
Matumizi ya kila siku ni kupasua shina la mti kuwa kuni au kupasua jiwe. Kimsingi hata uwezo wa kisu au shoka wa kukatia unafuata mfano wa kabari maana vyote hutegemea kanuni za bapa betuko.
Marejeo
hariri- ↑ "Simple Machines". Georgia State University. Iliwekwa mnamo 12 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)