WikiLeaks ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalochapisha habari za siri zinazofichuliwa na watu wasiojitambulisha (kwa Kiingereza: news leaks[1] and classified media provided by anonymous sources[2]).

Julian Assange,muanzilishi wa Wikileaks

Tovuti yake, iliyofunguliwa na Sunshine Press mwaka 2006 huko Iceland [3], ina nyaraka milioni 10.[4]

Mwanzilishi wake ni Julian Assange. Toka mwaka 2018, Kristinn Hrafnsson ni mhariri wake mkuu.[5]

Marejeo hariri

  1. Karhula, Päivikki (5 October 2012). What is the effect of WikiLeaks for Freedom of Information?. International Federation of Library Associations and Institutions. Jalada kutoka ya awali juu ya 11 October 2012.
  2. Editors, The. "WikiLeaks", The New York Times, 16 August 2012. 
  3. Chatriwala, Omar (5 April 2010). WikiLeaks vs the Pentagon. Al Jazeera. Jalada kutoka ya awali juu ya 9 February 2014.
  4. WikiLeaks Ten Year Anniversary.
  5. McGreal, Chris. "Wikileaks reveals video showing US air crew shooting down Iraqi civilians", 5 April 2010. Archived from the original on 26 June 2011. 

Viungo vya nje hariri