Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/Moseskehengu

|- | Ubingwa wa WWE || translated from english article WWE Championship || 2 || Muddyb || Makala ina mineno mingi ya Kiingereza. Tena, yamebakiwa kuwa vilevile kama yalivyo bila hata kutoa mfano wa neno angalau tungejua ni nini. Je, kwa wale ambao hawajui sheria na taratibu za mchezo huu wataelewa nini? Tafakari!


|- | Atomu na Nyukliasi || makala mpya || 3 || Muddyb || Lakini fikiria kuanzisha makala na kichwa chake. Kwa mfano nini maana ya "Atomu na Nyukliasi"? Hii ndiyo sababu tunataja mwanzoni mwa makala. Mfano: Atomu na Nyukliasi ni hali fulani ya.... ambayo inatokana na... Basi hivyo ndivyo tunavyofanya hapa kwenye Wikipedia!


|- | Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa || makala mpya || 2.5|| Muddyb || Jina la makala na kichwa chake vinapishana! Kifupi, hukuelezea katika hatua ya awali ya makala. Mfano: Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa ni kampeni dhidi ya ukomeshaji wa utumwa -liongozwa na watu wa magharibi katika kukataza biashara hiyo. Halafu kadha-wa-kadha-wa-kadha. Si ni rahisi kurudia au kuandika upya kichwa cha makala? Basi anza upya - angalau tuweke maksi za juu! Hongera.

|- | Utawala wa Kijiji - Tanzania || makala mpya || 3 || Muddyb || Hatua nzuri na ulivyoelezwa ulielewa! Basi hongera na jitahidi kurudia zile nyingine ambazo hazikuwekwa kichwa.


|- | Watawala wa Bukini 1800-1880 || makala mpya || 3 || Muddyb || Kumbuka kuweka kichwa cha makala.

|- | Viungo Vinavyosafisha Mwili || makala mpya || 3 || Muddyb || Jamani kichwa cha makala. Yaani, wewe unaweza sana, lakini vipi kaka kuhusu kichwa cha makala?

|- | Meno || makala mpya || 3 || Muddyb || Kaka unatisha! Nimekubali kaka. Kiswahili safi, maandishi safi, lakini vipi kuhusu kichwa cha makala? Jamani mtindo huu mbaya. Karibuni makala zako zote hazina vichwa. Jitahidi kuweka vichwa.

|- | Pwani na Bara ya Afrika Mashariki 1800-1845 || makala mpya || 3 || Muddyb || Kichwa cha makala bado tatizo. Halafu una-katabia ka kuweka sahihi ya jina lako kwenye makala, kaka. Hii si sahihi. Kumbukumbu ya ukurasa inakutaja kama wewe ndiyo mwanzilishi na kadhalika. Hivyo usiweke sahihi, kaka eeh! Hongera tena.


|- | Kuku Mashuhuri Tanzania || makala mpya || 2.5 || Muddyb || Makala zako nzuri sana. Lakini tatizo kubwa ni ule mfumo wa uandikaji moja kwa moja bila hata kuweka kichwa cha makala mwanzoni mwake. Hii inapunguza alama, kaka. Zingatia kuanza na vichwa vya makala!

|- | Halogeni || makala mpya ||3.0||JK||

|- | Neptune || makala mpya||3.0||NM||

|- | Misri (1805-1881) || makala mpya||3.0||NM||

|- | Utungisho katika Wanyama || makala mpya||3.0||NM||

|- | Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula || makala mpya||3.0||NM||

|- | Antibaotiki || makala mpya||3.0||JA||

|- | Kipimajoto || makala mpya||2.5||JA||

|- | Magonjwa ya Zinaa || makala mpya||3||JA-Muddyb||Not translated/written by Kehengu (Muddyb): Yeye ndiye mwanzilishi wa makala hiyo. Japokuwa kulikuwa na makala nyingie yenye jina la maradhi zinaa - bado haikuwa babukubwa kupitia hii ya Moses!||

|- | Magonjwa ya Kuku || makala mpya||3.0||JA||