Wilaya ya Alytus

Wilaya ya Alytus (Kilithuania: Alytaus apskritis) ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 182,851. Mji wake mkuu ni Alytus.

Wilaya ya AlytusWilaya ya Alytus

Bendera
Mahali paWilaya ya Alytus
Mahali pa Wilaya ya Alytus katika Lituanya
Nchi Bendera ya Lituanya Lituanya
Mji mkuu Alytus
Eneo
 - Jumla 5,425 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 182,851

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Alytus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Wilaya za Lituanya
 
Alytus | Kaunas | Klaipėda | Marijampolė | Panevėžys | Šiauliai | Tauragė | Telšiai | Utena | Vilnius