Wilaya ya Klaipėda

Wilaya ya Klaipėda (Kilithuania: Klaipėdos apskritis) ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 386,100. Mji wake mkuu ni Klaipėda.

Wilaya ya Klaipėda



Wilaya ya Klaipėda

Bendera
Mahali paWilaya ya Klaipėda
Mahali paWilaya ya Klaipėda
Mahali pa Wilaya ya Klaipėda katika Lituanya
Nchi Bendera ya Lituanya Lituanya
Mji mkuu Klaipėda
Eneo
 - Jumla 5,209 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 386,100

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Klaipėda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Wilaya za Lituanya
 
Alytus | Kaunas | Klaipėda | Marijampolė | Panevėžys | Šiauliai | Tauragė | Telšiai | Utena | Vilnius